Lyrics

Kassam – Hapa Lyrics

Kassam – Hapa Lyrics

Kassam – Hapa Lyrics -Tanzanian bongo Flava, Bongo Fleva artist, singer, and songwriter known as Kassam came back with a new song titled, Hapa.

RELATED: Kassam – Hapa

Kassam – Hapa Lyrics

…………..(instrument playing).

kassam.

Geniusjini x66.

Usimuwaze mwingine,niwaze Mimi tu.
eh,nikisema I love u,itika i love you to.
nisemeshe Kwa kununa,oooooh my buuu.
tupendane mpaka waige,ndege waliopo juu.
Leo sitaki penzi araka araka.
tufanye taratibu.

Leo tusitokwe jasho,
yaani taratibu.
tena tusiyafumbe macho,tutazamane Kwa ukaribu.
alafu nambie ukipendacho.
nianze shingo ama mbavu.
Kwa moyo wangu uko hapa.

hapa,hapa,hapa.
hapa,hapa.
hapa,hapa,hapa.
Kwa moyo wangu uko hapa.

hapa, hapa, hapa.
hapa,hapa.
hapa,hapa,hapa.

……………(instrument playing)

acha nikwambie,hizi hisia.
me nakupenda sana,na nimekuridhia.
wewe bila mie, mapenzi hakuna.
na tutachopanda ndo tutachovuna.
eeh,eeh
nikuache Mimi labda nimerogwa.
kichwani mwangu umenijaa.

ooh,ooh aah nakuota.
nikilala me nakuota.
sitaki penzi araka araka,
tufanye taratibu,
Leo tusitokwe jasho,
yaani taratibu.

tena tusiyafumbe macho,tutazamane Kwa ukaribu.
halafu nambie ukipendacho,
nianze shingo ama mbavu.
Kwa moyo wangu uko hapa,

hapa,hapa, hapa,
hapa, hapa,
hapa,hapa, hapa,
Kwa moyo wangu uko hapa,

hapa,hapa,hapa,
hapa,hapa.
hapa,hapa,hapa.

……………(instrument)

Leave a Comment