Lyrics

Marioo ft Stans – 2025 Lyrics

Marioo ft Stans – 2025 Lyrics

Marioo ft Stans – 2025 Lyrics –Marioo, a Tanzanian recording artist, singer, and songwriter for Bongo Fleva who is quickly rising in the industry, has blessed us with a brand new hit song titled “2025“, featuring his new artist called Stans.

Marioo ft Stans – 2025 Lyrics

bby nipost

kwani mi si mali yako

unamuogopa nani aaii wewee

bby nichumu kwani mi si mali yako

unamuofia nani ai wewe

mi naon raha kama

tunawakera

na bila ata kuwagusa ,bila ata kuwasema

mi naona raha kama tunawaboa

bila ata kuwaomba, bila ata kuwaghasi

Mungu kaumba dunia,ina watu na viatu

kaumb dunia ina vitu na vituko

Mungu kaumba dunia ina watu na viatu

ila si tunavopendana, wataachana waoo

tunadunda mpka

2025(mbili 25),

2026(mbili 26)

2027(mbili 27)

2028(mbili 28)

tunadunda mpka

2029(mbili 29)

2030(mbili 30)

ila si tunavopendana wataachana waoo

yeeh

stans ooh

baby naomba nifanye

baby naomba nifanye

nifanye niwe wako daima mpaka mwisho

baby naomba niweke

baby naomba niwekeee

ndani ya moyo wako daima

wale wote wanaojifanya pweza

wakutabiri penzi

mwaka huu tuwachinje

tunywe chuzi la kuongeza nguvu

wale wote wambea wambea

watie chumvi penzi

midomo tuwafumbe

tupendane waishiwe nguvu

Mungu kaumba dunia ina watu na viatu

ila si tunavopendana, wataachana waoo

tunadunda mpka

2025(mbili 25),

2026(mbili 26) uuuh

2027(mbili 27)

2028(mbili 28)

tunadunda mpka

2029(mbili 29)

2030(mbili 30)

ouh

ila si tunavopendana (wataachana waoo

)

ouh stans ooh

Leave a Comment