Alikiba atangaza kuachia EP yake “STARTER” ikiwa na ngoma 7
Alikiba atangaza kuachia EP yake “STARTER” ikiwa na ngoma 7 -Mfalme wa Bongo Fleva @officialalikiba anatarajia kuachia EP yake ya kwanza mnamo September 14,2024
.
EP hiyo ameipa jina la “STARTER” na itakuwa na jumla ya nyimbo Saba (7) huku wasanii @marioo_tz @officialnandy na @realjaymelody wakiwa wameshirikishwa kwenye EP hiyo
.
Tayari unaweza ku Pre Order EP hiyo kupitia mtandao wa Spotify.
![](https://bekaboy.com/wp-content/uploads/2024/09/Starter-EP-by-Kiba.jpg)
Leave a Comment