Obby Alpha Bora Kushukuru Lyrics
Obby Alpha – Bora Kushukuru Lyrics -“Wimbo Bora Kushukuru wa Obby Alpha ni moja ya nyimbo zinazohamasisha shukrani kwa kile ambacho mtu anakipata katika maisha. Obby Alpha, msanii maarufu wa Bongo Flava, anatoa ujumbe wa kumshukuru Mungu na kujivunia hatua zilizofikiwa, hata kama changamoto zipo. Wimbo huu unalenga kuwapa watu moyo wa kutokukata tamaa na kuendelea kushukuru kwa mafanikio madogo na makubwa katika maisha. Umetungwa kwa mtindo wa kuvutia na sauti yake yenye nguvu, na umepokelewa vyema na mashabiki wa muziki wa Bongo Flava.”
Obby Alpha Bora Kushukuru Lyrics
….oyeyeyee oyeyeyee.
Bora acha nimshukuru mungu kwa ivi nilivyo maana ata kuna wengine hawajafika nilipo
Bora acha nimshukuru kwa iki nilichopata maana ata kuna wengine wamekosa kabisaa.
…..tabasabu chugu….nataka nibadili wangu mtasamo niwaze kitajiri na wewe maumivu juu nataka nibadili wangu msimamo niishi kijasiri.
……ile habari ya kulialia kila siku nakataa(nakataa).na kama nilisainiwa mkataba nafuta aa ndugu tulowasaidia wakaficha makucha (makucha).wao walipo fanikiwa wakataka kutushusha.
yelelee nafuta zile (why me)×2.sijapata (kwa nini)×2..
…….najawa (ujasiri)×2
……nitapata (na mimi)×2
……nafuta zile (why mimi)×2
……sijapata (kwa nini)×2
…..najawa (ujasiri)×2
…..nitapata ( na mimi)×2
……Bora acha nimshukuru mungu kwa ivi nilivyo maana ata kuna wengine hawajafika nilipo.×2
…..bora acha nimshukuru mungu kwa iki nilichopata maana ata kuna wengine wamekosa kabisaa.×2
yeeee….. nilipo ueda kuna wengine wanapatamani jamani uko nilishakataliwa na watu wa nyumbani kile kidogo ninacholalamika lakini nimepata wengine wako wamepambana wamekosa kabisaa.
kumbe ni boraa kuridhika na iki nilichopata ndio yangu ridhiki.
mungu ni bora yeye hatabariki amekupa hicho mi amenipa iki .
……nafuta zile(why me)×2
………..sijapata( kwa nini)×2
…….najawa (ujasiri)×2
………nitapata (na mimi)×2
……….nafuta zile (why mimi)×2
………sijapata (kwa nini)×2
………najawa (ujasiri)×2
………nitapata (na mimi)×2
Bora acha nimshukuru kwa ivi nilivyo maana ata kuna wengine hawajafika nilipo.
Bora acha nimshukuru kwa iki nilicho pata maana ata kuna wengine wamekosa kabisaaa.
Leave a Comment