Moyo Wangu by Patrick Kubuya Lyrics
Moyo Wangu by Patrick Kubuya Lyrics -Wimbo “Moyo Wangu” wa Patrick Kubuya ni wimbo wa Injili ambao unashughulikia mada ya kumpa Mungu moyo wako na kumtegemea Yeye katika maisha. Patrick Kubuya ni mwimbaji wa Injili anayefahamika kwa uimbaji wake wenye nguvu na mafundisho yenye kugusa moyo.
YMoyo wangu usilie tena
Moyo wangu usibabaike
Unaye Mungu mkuu sana
Unaye Mungu Mweza wa yote
Aliingia rohoni mwangu kanipa kutulia
Kaniambia ee mwanangu usililie tena
Aliingia rohoni mwangu kanipa kutulia
Kaniambia ee mwanangu usililie tena
Ninajua shida zako mimi nitazitatua
Bila Yesu mimi ni mtu bure
Bila Yesu mimi ni mtu buree
Kati giza Yesu mwanga wangu u
Kati huzuni Yesu ni mfariji
Kati vita Yesu mwamba wangu u
Katika njaa Yesu mkate wa uzima
Yesu kimbilio hajawahi kuniacha
Yesu mwamba wangu mahali pa kujificha
Yesu kimbilio hajawahi kuniacha
Yesu mwamba wangu mahali pa kujificha
Anajua shida zangu yeye atazitatua
Bila Yesu mimi ni mtu bure
Bila Yesu mimi ni mtu bure
Eeeh eeh mh mh mh
Aliingia rohoni mwangu kanipa kutulia
Kaniambia ee mwanangu usililie tena
Ninajua shida zako mimi nitazitatua
Bila Yesu mimi ni mtu bure
Bila Yesu mimi ni mtu bure
Leave a Comment