Sports

KIKOSI Cha Simba vs Al Ahly March 29-2024 -Klabu Bingwa

KIKOSI Cha Simba vs Al Ahly March 29-2024 -Klabu Bingwa

KIKOSI Cha Simba vs Al Ahly -Klabu ya Simba SC itacheza mchezo unaofuata dhidi ya Al Ahly SC ya Misri, ukiwa ni mchezo Kwanza wa Robo Fainali ya CAF Champions League 2023/2024.

Mchezo huo inatarajiwa kuchezwa Leo Ijumaa ya March 29-2024 kuanzia saa 3:00 Usiku kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar Es Salaam.

KIKOSI Cha Simba SC dhidi ya Al Ahly, Mchezo wa Robo Fainali ya Kwanza ya CAF Champions League Leo Ijumaa March 29-2024, LIVE Simba vs Al Ahly.

Leave a Comment