DJ Mixes 5 kutoka Tanzania Za Kupakua Wiki Hii
Kama kuna kitu ambacho kinapamba vyema tasnia ya muziki Bongo basi ni uwepo wa DJ Mixes tofauti tofauti ambazo zina lengo la kukupa ladha tofauti tofauti za muziki kwa ajili ya kukuburudisha.
Haijalishi unataka kuzitumia ukiwa club, kwenye sherehe au ukiwa na marafiki zako ila hizi hapa ni DJ Mixes 5 Za kupakua wiki hii kutoka hapa Mdundo:
Subscribe new DJ mixes on Mdundo: https://mdundo.ws/BekaB
1.DJ Mix Ya Rj The DJ
Kama unapenda Amapiano basi DJ Mix hii kutoka kwa RJ The DJ ni kwa ajili yako. Humu ndani utapenda namna ambavyo RJ amebadilisha ngoma za zamani za Bongo Fleva na kuzipa ladha ya Bongo Fleva.
https://mdundo.com/song/2885344
- Qaswida Mpya
Katika kipindi hiki cha mwezi mtukufu wa Ramadhan basi DJ Mix hii yenye Qaswida nzuri na mpya kutoka Tanzania itakusaidia kukuburudisha na kukupa mawaidha yaliyoshiba.
https://mdundo.com/song/2885359 - Bongo Fleva Xclusive
Kwenye DJ Mix hii utakutana na ngoma kali za Bongo Fleva ikiwemo “I Like It” ya Darassa, Run Dunia Ya Ali Kiba pamoja na nyingine nyingi. Humu ndani utakutana na ngoma kali za Bongo Fleva za zamani na hata za miaka ya hivi karibuni.
https://mdundo.com/song/2885366
4.Taarab Songs
Ndani ya dakika 15 ya kwenye DJ Mix utapata ladha halisi ya muziki wa Mwamba yaani Taarab ambapo utaweza kurahani ngoma tofauti tofauti za Taarab, muziki ambao unafanya vizuri ndani na nje ya Tanzania.
https://mdundo.com/song/2885356
- Qaswida MP3 Downloads
Kama unatafuta Qaswida 15 kali ambazo utasikiliza bila kuchoka basi DJ Mix hii ni kwa ajili yako. Kwenye mix hii utapata ngoma nyimbo kali za Qaswida ambazo sio tu kwamba zitakupa elimu lakini pia zitakuburudisha.
https://mdundo.com/song/2885352 - Bongo New Fresh
Wapenzi wa muziki mzuri wenye mahadhi ya kufurahi na kucheza basi DJ Mix hii ni kwa ajili yako. Hii ni mix maalum kwa ajili yako ukiwa upo maeneo ya starehe, kwenye sherehe na rafiki zako au maeneo mengi.
https://mdundo.com/song/2885348
Leave a Comment