Sambaza Shangwe na Best of 2023 Mix inayowashirikisha Navy Kenzo Ndania ya Mdundo.com
Mwaka wa 2023 ulikuwa wa kufana sana kimuziki. Na kwa upande wetu tunapenda uzuri wa mziki wa kufana.
Hivyo basi tunakupa fursa ya kusambaza Shangwe leo na ‘Best of 2023 Mix’ ambayo inawashirikisha wakali wa muziki Navy Kenzo
Download sasa: https://mdundo.com/song/2745962
Subscribe ili kupata DJ mixes mpya Kila siku: https://mdundo.ws/BekaBlog