Pakua Mapenzi Mix ft Whozu Ndani ya Mdundo
Press play kwenye ‘Mapenzi Mix’ yetu leo ambayo inamshirikisha Whozu kwenye playlist yako ♥️🎶
Whozu ana sauti ya kipekee na staili ya kipekee ya kuimba, na ameweza kusimama pekee katika tasnia, na hivyo kutoa mchango mkubwa katika upekee wa muziki wa Tanzania.
Download hapa: https://mdundo.com/song/2802212
Subscribe ili kupata DJ Mixes zaidi hapa: https://mdundo.ws/BekaBlog
Leave a Comment