Audio

Pakua Bongo Classics Mix inayowashirikisha Lady Jaydee na Giggy Money Ndan Ya Mdundo

Pakua Bongo Classics Mix inayowashirikisha Lady Jaydee na Giggy Money Ndan Ya Mdundo

Ndio hii mix ya kuanza wiki kwa kishindo!

Pakua na kusikiliza ‘Bongo Classics Hits Mix’ ambayo inamshirikisha Lady Jaydee, Gigy Money na wasanii wengine hapa: https://mdundo.com/song/2724458.

Hapa unapata fursa ya kuwaskiliza wasanii hawa tajika na pia kujikumbusha jinsi mziki wa bongo umekua kadri miaka inavyosonga.

Subscribe ili kupata DJ Mixes zaidi hapa: https://mdundo.ws/BekaBlog

SambazaShangweGusaMaisha #waptrickmdundodownloadmusicmp3 #SambazaShangwe #MdundoTZ