Audio

Pakua Bongo Classics inayomshirikisha Darassa Ndani ya Mdundo

Pakua Bongo Classics inayomshirikisha Darassa Ndani ya Mdundo

Leo ni Throwback Thursday na tumekuandalia burudani ya Bongo Classics kutoka kwa Darassa, Nandy na Ruby kwenye mix ya leo.

Ipakue hapa: https://mdundo.com/song/2745767

Subscribe ili kupata DJ mixes mpya Kila siku: https://mdundo.ws/BekaBlog

GetNewDJMixEveryday #MdundoMixes #MdundoTZ