Audio

Pakua Singeli Mpya inayoshirikisha Balaa MC Ndani ya Mdundo

Pakua Singeli Mpya inayoshirikisha Balaa MC Ndani ya Mdundo

Ni siku ya kufanya ukumbusho wa mziki unaokuza tamaduni na sanaa ya Tanzania. Usikose burudani balaa ya SINGELI Mpya MP3 ambayo inamshirikisha Balaa MC pamoja na wasanii wengine hapa ndani ya Mdundo

Bonyeza link hii ili uweze kuifurahia ‘Singeli Mpya Mix’ hapa: https://mdundo.com/song/2721760

Subscribe ili kupata DJ Mixes zaidi hapa: https://mdundo.ws/BekaBlog

MdundoMixes #PakuaHapaMdundo #Singeli #MixMpyaKilaSiku