Share this post:

Pakua Old School Bongo Mix Ft Ben Pol and Professor Jay Ndani Mdundo

Audio
BekaBoy October 6, 2023 0 Comments

Pakua Old School Bongo Mix Ft Ben Pol and Professor Jay Ndani Mdundo

Eti Wazee hukumbuka sio?

Kwenye #Tbt twakupa fursa ya kupakua “Old School Bongo” mix inayowashirikisha magwiji wa Bongo Benpol na Prof. Jay Miongoni mwa wengine wengi.

Ipakue mix hiyo hapa: https://mdundo.com/song/2684186

Subscribe ili kupata DJ mixes zaidi hapa: https://mdundo.ws/BekaBlog

MdundoMixes #PakuaHapaMdundo #GetNewDJMixEveryday
0:00
0:00