Pakua Gengetone MP3 Mix Ya Odi wa Murang’a na Fathermoh Ndani ya Mdundo
Ni Ijumaa ya starehe na kuparty!Hivo jipatie fursa ya kujiachia baada ya wiki nzima ya kazi ngumu.
Tumekuandalia Gengetone Download MP 3 Mix inayowashirikisha wakubwa mziki huu kutoka Kenya kama vile Odi Wa Murang’a, Ochungulo Family, Fathermoh miongoni mwa wengine.
Anza starehe za wikendi kwa kupakua Mix hii kali hapa: https://mdundo.com/song/2684193
Subscribe ili kupata DJ mixes zaidi hapa: https://mdundo.ws/BekaBlog