Pakua Bongo Classics Mix Inayomshirikisha Darassa Ndani Ya Mdundo
Pata burudani ya kipekee kwenye Bongo Classics Mix ft. Darassa, Mac Voice, na Mabantu. Hawa wakiwa ni baadhi ya wasanii wanoendelea kutikisa anga za mziki kwa kishindo. Ubabe wao waendelea kudhihirishwa ndani ya mix hii.
Sikiliza hapa: https://mdundo.com/song/2711013
Subscribe ili kupata DJ mixes zaidi hapa: https://mdundo.ws/BekaBlog