Audio

Pakua Bongo Classics inayowashirikisha Lady Jaydee na Mejja Ndani Ya Mdundo

Pakua Bongo Classics inayowashirikisha Lady Jaydee na Mejja Ndani Ya Mdundo

Karibu kwenye mziki wa kuvutia na ‘Bongo Classics’ Mix. Furahia muziki wa zamani na kuanza wiki na mtindo wa kipekee.

Pakua ‘Bongo Classic’ mix hii yenye nyimbo za wasanii wa Bongo kama Lady Jaydee, Mejja, na wasanii wengine hapa: https://mdundo.com/song/2485125

Subscribe ili kupata DJ mixes zaidi hapa: https://mdundo.ws/BekaBlog

MdundoMixes #PakuaHapaMdundo #BongoClassics #MdundoTZ