Audio

INFINIX YATANGAZA DEAL NENE KWA WENYE VIPAJI Marioo na Chino Bega kwa Bega kwenye hili.

INFINIX YATANGAZA DEAL NENE KWA WENYE VIPAJI Marioo na Chino Bega kwa Bega kwenye hili.

Je, uko tayari kujishindia kiasi cha sh.1,000,000, kuperform jukwaa moja na Marioo
na kupata nafasi ya kurecord Audio na Video buree kwa udhamini wa kampuni ya
simu za mkononi Infinix Tanzania? Basi haujachelewa lile shindano la Infinix Star
Alliance talent chance #SpidiKasi linaendelea kupamba moto shiriki bila ya
kuchelewa yani kama unakipaji cha kuimba, kucheza au kurapu changamkia fursa
mwisho wa shindano ni July 25.

Iwe wewe ni muimbaji kwa njia ya rapu au kawaida au ni mchezaji mzuri wa nyimbo
mbalimbali chukua simu yako sasa jirekodo ukiwa unafanya kati ya hayo post katika
ukurasa wako wa instagram ukiwa #SpidiKasi #GusanishaIjae ubunifu wako na
muingiliano mzuri wa watu kwenye post yako ni kigezo kimoja wapo katika kumpata
mshindi.

https://www.instagram.com/p/CteVwQ8A3AP/?img_index=1


Iwapo umesahau Infinix Tanzania Mwezi wa Juni Mwaka huu ilizindua Infinix NOTE
30 Series, Simu za Infinix NOTE 30 zimeundwa kwa teknolojia ya kisasa ya
FastCharge ambayo inasaidia njia nyingi za kuchaji, ikiwa ni pamoja na kuchaji kwa
waya, kuchaji kwa haraka bila waya, kuchaji nyuma kwa kugusanisha na simu
nyengine.
Kwa hiyo, unasubiri nini? Nyakua simu yako, onyesha kipaji chako na utume bila
kusahau #SpidiKasi #GusanishaIjae


Piga 0744606222 kwa maelekezo zaidi.