Audio

Pakua Gengetone Anthem mix Ndani Ya Mdundo

Pakua Gengetone Anthem mix Ndani Ya Mdundo

Jumatatu Njema wadau!

Hii leoo tunaanza wiki kwa burudani kamili kwa kukupa mix hii kali ya Gengetone Anthem inayowaleta pamoja wakubwa wa Vaibu kutoka Kenya Exray Taniua, Kagwe Mungai na Boutross.

Ipakue hapa #gengetoneanthem: https://mdundo.com/song/2504542

Subscribe ili kupata DJ mixes zaidi hapa:https://mdundo.ws/BekaBlog

Mdundovibes #gengetoneanthem #Djmixeseveryday