Pakua Fan Fave Bongo 2023 Mix iliyotengezwa na RJ The DJ ndani ya Mdundo
Tunamjua Rommy Jons almaarufu Rj The Dj kwa umahiri wake haswa kama Dj mashuhuri!🎶🎶
Basi pata fursa ya kupakua mixes zake za Kipekee ndani ya Mdundo. Hivo usikose kuweka mix hii inayowaleta pamoja wasanii mahiri kutoka Afrika Masahariki kwenye playlist yako.
Ipakue hapa #FanFavebongo2023Mix: https://mdundo.com/song/2501484
Subscribe ili kupata DJ mixes zaidi hapa: https://mdundo.ws/BekaBlog