Audio

Pakua Afro-Bongo Mix 2023 inayowashirikisha Alikiba, Marioo Na Jay Melody

Pakua Afro-Bongo Mix 2023 inayowashirikisha Alikiba, Marioo Na Jay Melody

Pata uzoefu wa muziki wa kipekee kutoka Afrika na uchangamfu wa nyimbo za Afro-Bongo katika mix hii ya Afro-Bongo Best Hits 2023 ya Rj The Dj.

Humu amewashirikisha wakubwa wa bongo Fleva Alikiba, Marioo, Jay Melody na Wengineo.

Ipakue hapa #AfroBongoBestHitsMix2023: https://mdundo.com/song/2487801

Subscribe ili kupata DJ mixes zaidi hapa: https://mdundo.ws/BekaBlog

DownloadOnMdundo #MdundoDJMixes #GetNewDJMixEveryday