Pakua African Dancehall Heat Mix inayowashirikisha Mabantu na Vinka
Jumatatu Shwari wadau!
Hii leo tunaanza wiki na mziki mzuri ambapo tunawaleta wakubaa wa Afrika Mashariki Mabantu kutoka Tanzania na Vinka wa Uganda miongoni mwa wengine kwenye mix hii kali ya African Dancehall Heat.
Ipakue hapa #Africandancehallheatmix: https://mdundo.com/song/2496048
Subscribe ili kupata DJ mixes zaidi hapa: https://mdundo.ws/BekaBlog