Audio

Pakua Best of Afrotune Throwback Mix Ft Nameless and Chike ndani ya Mdundo

Pakua Best of Afrotune Throwback Mix Ft Nameless and Chike ndani ya Mdundo

Huku tukiadhimisha siku ya Kiafrika almaarufu Africa Day, tunakupa fursa ya kupakua mix kali ndani ya Mdundo.

Jipe fursa ya Kufurahia Best of Afrotune Mix inayowajumuisha wasanii tajika Afrika wakiwemo Nameless kutoka Kenya, Chike wa Nigeria na wengineo.

Ipakue Hapa #BestofAfrotunethrowbackMix: https://mdundo.com/song/2493031

Subscribe ili kupata DJ mixes zaidi hapa: https://mdundo.ws/BekaBlog

MdundoDJMixes #MdundoVibes #Afrotunemix