Audio

Pakua Good Vibe Ladies Mix Inayomshirikisha Rosa Ree

Pakua Good Vibe Ladies Mix Inayomshirikisha Rosa Ree

Tunaendelea kusherehekea wanawake wote duniani na tunakudondoshea MIX kali ambayo inayowashirikisha wasanii Rosa Ree, Fena, Nandy, Nadia Mukami na pia Wendy Kimani 🤗

Pakua Good Vibe Ladies Mix hapa: https://mdundo.com/song/2208183

Subscribe ili kupata DJ Mixes zaidi hapa: https://mdundo.ws/BekaBlog

GetNewDJMixEveryday #MdundoMixes #RosaRee

Leave a Comment