Dedo Dieumerci Ft Naomi Mugiraneza – Majina Yote Mazuri ni yako lyrics
Dedo Dieumerci Ft Naomi Mugiraneza – Majina Yote Mazuri ni yako lyrics – Majina Yote Mazuri ni Yako –Dedo Dieumerci, a gospel singer and songwriter originally from Rwanda, has returned with a new song titled Majina Yote Mazuri ni Yako, featuring Naomi Mugiraneza.
Dedo Dieumerci Ft Naomi Mugiraneza – Majina Yote Mazuri ni yako lyrics
Majina Yote Mazuri ni yako Eh
Johava Muumbaji Wangu
Nikupe Jina Gani Kwani Kila
Lakiheri ni Upekee Wako
Majina Yote Mazuri ni yako Eh
Johava Muumbaji Wangu
Nikupe Jina Gani Kwani Kila
Lakiheri ni Upekee Wako
Majina Yoooteeee!
Majina Yote Mazuri ni yako Eh
Johava Muumbaji Wangu
Nikupe Jina Gani Kwani Kila
Lakiheri ni Upekee Wako
Nikuupeee Jina Gani!!!
Nikupe Jina Gani Kwani Kila
Lakiheri ni Upekee Wako
Majina Yooteee!!!!
Majina Yote Mazuri ni yako Eh
Johava Muumbaji Wangu
Nikupe Jina Gani Kwani Kila
Lakiheri ni Upekee Wako
Umeniponyaaa!
Umeniponya Nakuita Jehova
Rapha Mungu, Mponyaji Wangu
Umenikoaaa!!
Umeniokoa nakuita Mwokozi
Bwana Mungu wa Wokovu wangu
Umenipigania!!!
Umenipigania nakuita Jehova
Nisi Bendera ya Ushindi wangu
Umeniponya!!
Umeniponya Nakuita Jehova
Rapha Mungu, Mponyaji Wangu
Umeniokoa!!
Umeniokoa nakuita Mwokozi
Bwana Mungu wa Wokovu wangu
Umenipigania Yesu!!!
Umenipigania nakuita Jehova
Nisi Bendera ya Ushindi wangu
Umenipigania!!!!!
Umenipigania nakuita Jehova
Nisi Bendera ya Ushindi wangu
Usifiiiiweee!!!
Usifiwe ewe bwana MUUMBA
Wangu na Nuru yangu
Wema wako wanijaza Moyoni…
Wewe ndiwe Mchungaji wangu
Tena Kiongozi wa Maisha yangu
Wanitazama kama mboni ya jicho lako
Usifiwe ewe bwana MUUMBA
Wangu na Nuru yangu
Wema wako wanijaza Moyoni…
Wewe ndiwe Mchungaji wangu
Tena Kiongozi wa Maisha yangu
Wanitazama kama mboni ya jicho lako
Usifiwe ewe bwana MUUMBA
Wangu na Nuru yangu
Wema wako wanijaza Moyoni…
Wewe ndiwe Mchungaji wangu
Tena Kiongozi wa Maisha yangu
Wanitazama kama mboni ya jicho lako
Umenifanyaaaa!!
Umenifanya kuwa kielelezo cha walio barikiwa
Zaidi ya yote ukanifanya kuwa Baraka
ili nami nibariki
Nimekupata wewe nami nikaridhika
Wewe ni yote ndani ya yote
Usifiwe ewe bwana MUUMBA
Wangu na Nuru yangu
Wema wako wanijaza Moyoni…
Wewe ndiwe Mchungaji wangu
Tena Kiongozi wa Maisha yangu
Wanitazama kama mboni ya jicho lako
—–over—-