Billnass Ft Jay Melody – Puuh LYRICS
Billnass Ft Jay Melody – Puuh LYRICS –Billnass, a Tanzanian hip-hop musician, East Africa’s most promising Rap Kidd, and serial hitmaker, has released a new song titled Puuh.
RELATED: Billnass Ft Rayvanny – Utaonaje
Ili penzi la ukweli baby nipe tu
Na ukinikuta nimelala unakuja juu
Tena kwa jinsi liko hot linawaka wuuu
Na ukinikumbatia moyo unadunda
puuh
Aaah unadunda puuh, puuh puuh puuuu
Oooh unadunda puuh, puuh puuh puuuu
Aaah unadunda puuh, puuh puuh puuuu
Aaah unadunda puuh, puuh puuh puuuu
Wacha niseme kitu buu
Siwezi kukutoa machozi
Kila siku kwetu sikukuu
Valentine sio inshu kwetu
Si ni siku tu
Najua unapenda zawadi magift
Na ndo mana na work hard nikufixi
Iwe shida ya mavazi chakula na
maradhi
Sometimes niko radhi nijirisk
Nachofurahi hata nikikosa unaniombea kwa Mungu
Wapo waliowahi nitosa kisa sina fungu
Nakumbuka long time ilivyokuwa hard time
Kabla hujanitoa kwa hukumu
Ushaambiwa maneno shaziii
Ushaambiwa mi sina hadhi
Ukaambiwa mimi jambazi tapeli wa mapenzi
Na bado ukanihitaji
Ushaambiwa maneno shaziii
Ushaambiwa mi sina hadhi
Ukaambiwa mimi jambazi tapeli wa mapenzi
Na bado ukanihitaji
Ili penzi la ukweli baby nipe tu
Na ukinikuta nimelala unakuja juu
Tena kwa jinsi liko hot linawaka wuuu
Na ukinikumbatia moyo unadunda
puuh
Aaah unadunda puuh, puuh puuh puuuu
Oooh unadunda puuh, puuh puuh puuuu
Aaah unadunda puuh, puuh puuh puuuu
Aaah unadunda puuh, puuh puuh puuuu
Check ulivopinda ukivaa unapendeza
Team ishakuamini chagua namba
utayocheza
Macho ya kichokozi yani kama
unakonyeza
Spending money for your love kwako
nawekeza
Zuuu zuuu zuuu zuuu ushanizuzua
Nishakuvisha vyeo (….)
Na kitu usichojua hata wakisema
Unajiuza wambie mi ndo nnayekununua
Ushaambiwa maneno shaziii Ushaambiwa mi sina hadhi
Ukaambiwa mimi jambazi tapeli wa mapenzi
Na bado ukanihitaji
Ushaambiwa maneno shaziii
Ushaambiwa mi sina hadhi
Ukaambiwa mimi jambazi tapeli wa mapenzi
Na bado ukanihitaji
Ili penzi la ukweli baby nipe tu
Na ukinikuta nimelala unakuja juu
Tena kwa jinsi liko hot linawaka wuuu
Na ukinikumbatia moyo unadunda
puuh
Aaah unadunda puuh, puuh puuh puuuu
Oooh unadunda puuh, puuh puuh puuuu
Aaah unadunda puuh, puuh puuh puuuu
Aaah unadunda puuh, puuh puuh puuuu