Archived

Meseji nzuri za Kumtumia Mpenzi wako

Meseji nzuri za Kumtumia Mpenzi wako

Meseji nzuri za Kumtumia Mpenzi wako “First time I saw you, I was scared to touch you. First time I touched you, I was scared to kiss you. First time I kissed you, I was scared to love you. But now that I love you, I’m scared to lose you!”


Mambo yanapokwenda mrama kumbuka kuwa kuna Mungu peponi anayekupenda na kukuangalia, lakini yupo duniani anayekujali ambaye ni mimi peke yangu.


Meseji nzuri za Kumtumia Mpenzi wako

An angel asked me a reason why I care for you so much. I told her I care for you so much coz there’s no reason not to.


Why do birds fall from the sky every time you walk by? Maybe because like me they want to be near you!


Simu huboa wakati mwingine, kwani ni lazima ufungue meseji na kuzisoma, kuichaji simu kila mara, lakini usichoke kwani ndiyo inayotuwezesha tuwasiliane


They say as long as at least one person cares for you, life isn’t a waste. So when things go terribly wrong, and you feel like giving up, please remember you still got me.


Maneno huanza na ABC. Namba 123. Muziki na do re mi na mapenzi huanza na mimi na wewe.


If only one star would fall every time I miss you, then all the stars in heaven would be gone. Don’t wonder if there are no stars tonight! It’s your fault coz you made me miss you a lot.


Mvua na jua haviwezi kuwa pamoja, usiku na mchana hazigongani, lakini mimi na wewe, hata wasemaje, �tunafiti� kuwa pamoja.


If someone would ask me what a beautiful life means, I would lean my head on your shoulder and hold you close to me and answer with a smile: “Like this!”


Niotapo ndoto, hukuota wewe…labda siku moja, inaweza kuwa kweli.


Life may sometimes be a rough road to walk on where everything seems wrong. But don’t give up. Just go on coz when you think you’re all alone, look back and you’ll find me walking along.


Kuna bahari kati yetu. Misitu na milima inatutenganisha, mimi si �Supamani� lakini nipe sekunde moja nitavuka nchi nyingi kukutumia mapenzi yangu. Umeipata hiyo?


Someone once asked me, “Have you ever fallen in love?” Then I answered, “Of course, once.” Then they asked me another question: “Did it hurt?” I thought of you and told them “Yes, very much”.


Kama ningeweza kutenga muda kidogo na kuufanya uendelee kung�ara siku zote, siku zote nilizoishi ningechagua wakati nilivyoishi nawe.


I used to think that the world is so unfair, that it gave me so many reasons to hate it. But now, how can I hate such a wonderful world that gave me you?


Natamani ningekuwa chozi jichoni mwako ambapo ningetelemka na kuishia midomoni mwako, lakini kamwe sitamani uwe chozi jichoni mwangu nitakupoteza kila muda niliapo.


When it rains, you don’t see the sun, but it’s there. Hope we can be like that. We don’t always see each other, but we will always be there for one another.


Naweza kuishiwa ujumbe wa kukutumia. Naweza kuishiwa utani pia. Naweza kuishiwa chaji lakini moyo wangu hauwezi kukosa nafasi ya kukuweka.


You’ll know that you miss someone very much when every time you think of that person, your heart breaks into pieces and just a quick “Hello” from that person can bring the broken pieces back.


Penzi, maisha yangu yote nimesoma juu ya neno hili, nimeota juu yake, nimelilia, nimelihitaji. Sasa pamoja nawe nimelipata.


When the time comes I can’t smile anymore, don’t worry about me, I know what to do. I’ll just stare at one corner and think of you. No one else could make me happy like the way you do.


Kila mtu anataka kuwa jua linalong�arisha maisha yako, lakini ni afadhali niwe mwezi, ili nikuangazie wakati wa giza ambapo jua limechwea na haliangazi tena.


There’s a love that only you can give, a smile that only your lips can show, a twinkle that can only be seen in your eyes, and a life of mine that you alone can complete.


Ah�Nimesahau jina lako. Ninaweza kukuita langu? Na iwapo utasahau langu, niite lako mpenzi!


If I had the letters “HRT”, I can add “EA” to get a “HEART” or a “U” and get “HURT”. But I’d rather choose “U” and get “HURT” than have a “HEART” without “U”.


Unaweza usione kamwe ni kwa kiasi gani ninavyokujali. Unaweza usisikie ni kwa kiasi gani nilivyokushiba, unaweza usihisi namna gani ninavyokukumbuka. Sababu ni moyo wangu tu uliyoyaficha hayo.


There are 4 steps to happiness: 1. you, 2. me, 3. our hearts, 4. together!


A day may start or end without a message from me, but believe me it won’t start or end without me thinking of you. See! I just did. Take care.


Kama busu ni maji ningekupatia bahari, kukumbatia ni majani, ningekupa msitu. Mapenzi ni maisha ningekupa yangu bure.


It’s hard to say hello because it might be goodbye. It’s hard to say I’m okay because sometimes I’m not. But it’s easy to say I miss you coz I know that I really do.