Audio

Swahili: Mixes Tano Bora za Kupakua Kwenye Mdundo Wiki Hii

Tunapoanza wiki mpya katika mwezi huu wa Machi 2021, Mdundo umekuandalia mixtapes tano
mpya za kukusisimua na kukuchanagamsha unapoendelea na shughuli zako.
Mixtape hizi zina mchanganyiko wa wimbo moto moto kutoka kwa wasanii tajika eneo la Afrika
Mashariki.
Hii hapa orodha ya mixtape tano mpya zilizo kwenye Mdundo Tanzania unazofaa kupakua na
kusikiliza mwezi huu:


Bongo Mix March 2021 Vol 1
Mixtape hii ni yenye maudhui ya mapenzi na ina nyimbo kutoka kwa wasanii kama vile; Aslay,
Darassa, Ruby na Nadia Mukami. Ijapokuwa mwezi na siku ya wapendanao ilishapita, bado
unaweza kusikiliza nyimbo hizi pamoja na mpenzi wako ili kuwachangamsha na kusisimua
mapenzi yenu.

<iframe src="https://mdundo.com/widget_song/1960579" frameborder="0" height="125" width="100%"></iframe>

DJ Bee East African Mix
Hii n mixtape yenye nyimbo bora kutoka kwa wasanii tajika eneo la Africa Mashariki. Nyimbo
hizi zina mdundo wa kusisumua na ni zeny maudhui ya kudensi na kufurahia maisha. Iwapo
unataka kujipa raha mwenyewe, basi pakua mixtape hii kwenye mtandao wa Mdundo Tanzania.
Wasanii walioshirikishwa ni kama vile; Nyashinski, Shebah, Kelechi Africa na Willy Paul

<iframe src="https://mdundo.com/widget_song/1960578" frameborder="0" height="125" width="100%"></iframe>

DJ Bee East African Mix Vol 2
Mixtape hii ina nyimbo zenye midundo ya kutumbuiza na kufurahisha kutoka eno la Afrika
Mashariki. Nyimbo zilizo kwenye mixtape hiiniya maudhui ya mapenzi. Wasanii walioshirikishwa
ni kama vile; Willy Paul, Otile Brown, Vinka, Meddy Aslay na wengine wengi.

<iframe src="https://mdundo.com/widget_song/1960577" frameborder="0" height="125" width="100%"></iframe>

International Women’s Day Edition

Mixtapee hii iliandaliwa ili kuwasherekea wasanii wa kike wanaofanya vizuri kwenye sanaa ya muziki. Tarehe8 mwezi wa Machi huwa siku ya wanawake duniani, hivyo mixtape hii iliandaliwa ili kuambatana na siku hio. Wasanii walioshirikishwa ni kama vile; Zuchu, Nandy na Duduke miongini mwa wengine.

International Women’s Day Edition Vol 2

Mixtape hii pia ni ya kuwasherehkea wasanii wa kike kutoka bara Afrika wanaofanya vizuri kimuziki. Mixtape hii inamchanganyiko ya wimbo kutoka Nigria, Kenya na Bongo. Wasanii walioshirikishwa ni kama vile;Yemi lade, Zuchu, Maua Sama na Ssaru.

Over the years, Tanzania has been growing musically and is slowly turning into East Africa’s music hub thanks to artists like Diamond Platnumz, Harmonize, Alikiba and their respective record labels that are nurturing upcoming artists.

The three artists are arguably the biggest names in the Bongo music scene at the moment, with their music dominating Bongo playlists and charts. In this article, we review five top bongo playlists you should download on Mdundo, and jam to this week:

Nyimbo za Kuabudu

This is a collection of praise and worship songs from top Tanzanian gospel artists like;  Christina Shusho, Martha Mwaipaja, Bahati Bukuku, Rose Muhando among others. The songs have deep spiritual messages that will draw you closer to God. 

https://mdundo.com/p/14349

Bongo Flava Mix

This playlist takes us back in time as it features songs from the era WCB started dominating the bongo music scene. It features all early releases by Wasafi’s Diamond, Rayvanny, Mbosso and their chart-topping collabos with Nigerian musicians like Patoranking.

https://mdundo.com/p/23514

Romantic Music

This is a pure romance playlist for lovers. It features bongo stars and their collaboration with other African music giants like Patoranking and Rema. The songs in this playlist are slow and have amazing beats that will get you in the romance mood.

https://mdundo.com/p/14630

Waah! Diamond

This is a collection of top hits and mixes from Diamond Platnumz. Through this playlist, you’ll get to appreciate Diamond’s music journey, as you enjoy the transition from his old jams to his new releases which boast of amazing production and great bits. Some of the songs featured in this playlist include; Yope Remix, Haunisumbui and Waah among others.

https://mdundo.com/p/23236

Singeli Mpya

Singeli music is Tanzania’s version of electronic dance music that emerged in the mid-2000s. The genre fuses rapid beats and musical influences from older Tanzanian genres like Taarab, Mchiriku, Segere, and Bongo Flava.

Over the years, the genre has been struggling to go mainstream due to the lack of support from established artists. However in 2020, several top artists embraced Singeli music and it is now slowly turning to be another pride of Tanzanian music heritage.

This playlist highlights some of the best Singeli music you should jam to this week. Some of the featured artists include; Mejja Kunta, Dulla Makabila, Msaga SUmu among others.

https://mdundo.com/p/14846

To get more mixes, please visit: https://mdundo.com/genres/245 .

To get daily mixes from Mdundo, subscribe to Mdundo Bundle for Tsh 100 here: https://mdundo.com/dl/1587643