Audio

FULL ALBUM | Nasibu the Vibe – Swaghili Stories

FULL ALBUM | Nasibu the Vibe – Swaghili Stories

Mkali wa hiphop, Nasibu the Vibe amekuletea album yake, SWAGHILI STORIES’ ambayo inapatikana bure kama ‘hewa ya oxygen’.
Kwenye album yake ya ‘SWAGHILI STORIES’ amekutanisha producers wa nchini na nje ya nchi kama USA, France, Jamaica na Iraq kupitia mtandao.
Nasibu the Vibe amesema anatamani kuona wasanii wengi wakitoa album ili kuuongezea thamani muziki wetu.