Videos

VIDEO: Reime Schemes Ft. Shady Blue – Paradise

Hip Hop Star Kutoka Nchini Marekani REIME SCHEMES Ambaye Amekuwa Anafutiwa Sana Na Muziki wa Bongo Fleva Leo Hii Ametusogesea Video Yake Mpya Inaitwa PARADISE Kamshirikisha SHADY BLUE.

REIME SCHEMES Amesema Wakati Tunasubiri Video Ya Wimbo Wake Mpya Aliomshirikisha BI AISHA Amesema Tuanze Ku Vibe Kwanza Na Hii Joint Mpya Ya PARADISE.

Twende YouTube Tuka Vibe Nayo.