News

Pakua Mixtape 5 za Muziki Bora

Pakua Mixtape 5 za Muziki Bora

Muziki ni muhimu kwa maisha yetu kwa kuwa unaweza kuongeza hali ya mtu, kumfurahisha, au kumfanya atulie na kupumzika. Muziki pia inaruhusu sisi kusikia hisia zote ambazo tunapata katika maisha yetu.

Kwenya nakala hii, tunaangazia mixtape 5 kali kwenye mtandao wa Mdundo Tanzania zilizo na ngoma kubwa kubwa zinazofanya vyema Bongo na zilizochanganywa na na DJs wenye uwezo mkubwa.

Hii hapa orodha hio:

Bongo Mix_Mapenzi Matamu

Mixtape hii ni yenye maudhui ya mapenzi na imewashirikisha wasanii tajika kama vile; Darassa, BenPol, Zuchu, Alikiba na Maua Sama. Nyimbo zilizo wenye mix hii ni mpya na yenye umaarafu mkubwa katika kanda ya Bongo Fleva.

Bongo Mdundo Bomba #01

Mixtape hii ina ngoma moto moto kutoka kwa wasanii kama vile; Rich Mavoko, Diamond Platnumz, AY, Darassa na wengineo. Wimbo hizi ni za kizazi kipya na ina midundo itakayokuchangamsha.

Bongo Mix _ #02

Mixtape hii ina mchanganyiko wa ngoma kutoka Kenya na Tanzania. Wasanii walioshirikishwa ni kama vile; Willy Paul, Otile Brown, Zuchu, Alikiba na wengineo. Otile Brown ni mojawapo wa waandishi wazuri wa nyimbo za mapenzi za Swahili katika eneo la Afrika Mashariki.

Bongo 2021

Mixtape hii ina nyimbo mpya kutoka Tanzania na inawashirikisha wasanii kama vile; Lady JayDee, Zuchu, Tanasha Donna, Harmonize na Diamond Platnumz. Wasanii wote kwenye mixtape hii ni wenye tajriba ya hali ya juu, hivyo kuifanya mixtape hii kuwa yenye ngoma kali kali.

Swahili Gospel Mix Vol 8

Mixtape hii ina nyimbo na sifa na kuabudu. Mixtape hii inawashirika wasanii tajika wa muziki wa injili kutoka kanda ya Afrika Mashariki kama vile; Christina Shusho, Rose Muhando, Mercy Masika, Kambua na Alice Kamande. Nyimbo zilizo kwenye mixtape hii ni wenye ujumbe utakao kuisaidia kusonga karibu na Maulana.

Kupata mixtape zaidi tembelea ukurusa huu: https://mdundo.com/genres/245.

Pia ukitaka kupata mixtapes za Mdundo kila siku  kwa Tsh 100, jisajili hapa: https://mdundo.com/dl/1587643