Lyrics

Mbosso – Fall Lyrics

Mbosso – Fall Lyrics

Aaah eeh
(It’s S2kizzy beiby)

Pendo limenizidia
Acha niseme niseme
Dozi imeniingia
Baby je t’aime, je t’aime

Hapo hapo shikilia
Mwaego ndo penye ndo penye
Moja subiria
Baby niheme niheme

Dereva wa moyo wangu
Usinipeleke puta puta (Puta)
Taratibu mwenzangu
Penzi njia yenye matuta (Tuta)

Amepinga nimepinga
Penzi hamwezi futa (Futa)
Nakula kwa raha zangu
Nyama mpaka mfupa (Fupa)

Kisura cha upole
Kama mama yangu (Talalala)
Unifunde kwa mkole
Uwe somo yangu (Talalala)

Huba tulisosomole
Chozi kwa matandu (Talalala)
Nile bungo kwa kidole
Mambo chambu chambu

Baby you make me
Ayee, ayee ayee!
You make me fall in love
Ayee, ayee ayee!

And I go tell my mama
Ayee, ayee ayee!
And I go fall in love
Ayee, ayee ayee!

Pole Dear Ex
Mwenzako nipo salama eee salama
Mambo ya mastress
Nishasahau hizo zama ee hizo zama

Afu sizeeki
Nadekezekwa utadhani mwana ee mwana
Tena mchoyo hakiombeki
Pendo sio la kugawana eeh gawana

Eeh penzi si la kudokoa doko
Ooh doko
Nakula kwa kunyofoa nyofo
Ooh nyofo

Kama embe nalipopoa popo
Ooh popo
Huku tunajifotoa photo
Ooh photo

Kisura cha upole
Kama mama yangu (Talalala)
Unifunde kwa mkole
Uwe somo yangu (Talalala)

Huba tulisosomole
Chozi kwa matandu (Talalala)
Nile bungo kwa kidole
Mambo chambu chambu

Baby you make me
Ayee, ayee ayee!
You make me fall in love
Ayee, ayee ayee!

And I go tell my mama
Ayee, ayee ayee!
And I go fall in love
Ayee, ayee ayee!

(Kwa Mix Lizer)

Pole Dear Ex
Mwenzako nipo salama eee salama
Mambo ya mastress
Nishasahau hizo zama ee hizo zama