Lyrics

Diamond Platnumz Ft Koffi Olomide – Waah! Lyrics

Diamond Platnumz Ft Koffi Olomide – Waah! Lyrics

DOWNLOAD OFFICIAL AUDIO

Anachukua anaweka Waah!
Anachukua anaweka Waah!
Anachukua anaweka Waah!
Anachukua anaweka Waah!

Kaghamu kupendwa na
Kaghamu nasikia
Tamu kupendwa nawe
Tamu kupendwa nawe, tamu
Tamu kupendwa nawe

Oh maneno maneno, tumeyazoea
Vijineno neno, tushazoea
Wapenzi wangu ku-party
Kwani ninawahusu

Shepu yake mbaya, hivi inawahusu
Udangaji umalaya, wao inawahusu nini
Wamegusa pabaya na mwaka huu
Lazima wachuchumae

Wameingia cha kike
Cha kike
Wameingia cha kike
Cha cha kike

Wameingia cha kike
Cha kike
Wameingia cha kike
Cha cha kike

Aah Bakokote Babu Tale
Don Mendez, Ba Junior 

Chumbani Hennessy
Hunipatia panadol
Kuchenga za Messi
Na mashuti ya Ronaldo

Yaani ndani nikiingia tu
Anachukua anaweka Waah!
Ah kwenye gari
Anachukua anaweka Waah!

Iwe jikoni ama varandani
Anachukua anaweka Waah!
Doze doze, doze doze
Anachukua anaweka Waah!

Yaani baadae salama joto
Toa leso nipepepee
Oya kombo joto
Toa leso nipepepee

Oya mzee kunami, jipepee
Oh Ricardo Momo, jipee
Oya mama Ndangote, jipee
Eeh Doni Fumbwe, jipee

Juu juu, jipee
Juu juu juu, jipee
Juu juu, jipee
Juu juu juu, jipee


Eeeh aaah!!
Eeeh Weeeh!!

Usiniguse, usinitouch
Tusalimiane kwa miguu
Usiniguse, usinitouch
Tusalimiane kwa miguu

Ooh nasema usiniguse, usinitouch
Salamu iwe kwa miguu
Usiniguse, usinitouch
Tusalimiane kwa miguu

Ooh kwanza kaa mbali
Corona coro, corona coro
Mwenzako naogopa
Corona coro, corona coro

Kwa tena vaa maski
Corona coro, corona coro
Mikono yako kuosha
Corona coro, corona coro

(Ayolizer)