Videos

VDJJones ft. Juacali ,Swat Ethic, Odi wa Murang’a – Wale Mang’aa (VIDEO)

VDJJones ft. Juacali ,Swat Ethic, Odi wa Murang’a – Wale Mang’aa (VIDEO)

Bingwa wa Gengetone Vdj Jones kutoka kenya amewasogezea karibu wimbo wake mpya akiwashikisha Wakali toka Kenya, JuaCali, Swat Ethic na Odi Wa Murang’a (Boondocksgang), wimbo unaitwa Wale Mang’aa, Genge ni aina ya Muziki Maarufu sana Kenya, Mziki aina ya gengetone umepokelewa kwa wingi hapa Africa na ulimwengu mzima kwa ujumla, wimbo umeandaliwa na Muaandaaji wa Muziki anaitwa Cedric Singleton, na Video imeongozwa na Trey Juels. Unaweza kumfollow Vdj Jones HAPA https://instagram.com/vdj_jones?igshid=rm2agbvpmjjz Tazama Hapa chini.

Leave a Comment