Promo

Suluhisho lako la mahitaji yako yote ya vifaa vya nyumbani na ofisini.

Suluhisho lako la mahitaji yako yote ya vifaa vya nyumbani na ofisini.

Kwa mahitaji yako yote ya vifaa vya majumbani na maofisini tuone Discount center ltd.Kwa vifaa vyote vya

(1)chumbani kama mashuka,mapazia,vitanda na samani nyingine.

(2)vifaa vya kupamba sebule yako kama masofa na samamani zote zihusuyo sebule tuone discount center.

(3)Vilevile kwa mahitaji yako yote ya vifaa vya sehemu ya kulia chakula yaani dining tutakupatia kwa punguzo kubwa la bei bila kusahau samani zote za maofisini.Tunapatikana katika maduka yetu yaliyopo –

Mkunguni,Msimbazi,Uhuru,Upanga,MlimaniCity,PuguMall,Kigamboni,Mbeya,Mwanza,Arusha.

Vilevile usisite kutupigia kupitia : +255 712 700 000 Instagram @: https://www.instagram.com/discountcentre.tz/

Leave a Comment