Home Promo Jinsi ya kujiunga na BETIKA Tanzania

Jinsi ya kujiunga na BETIKA Tanzania

Betika ni kampuni ya mikeka ambayo ni bora na iliyokidhi vigezo vya kimataifa katika sekta hii ya mikeka. Betika wanakupatia huduma bora na kukupatia michezo mingi ambayo inakufanya uwe na uchaguzi mkubwa unapokuwa unaweka mikeka yako. Pia Betika wanakuwezesha kushinda pesa zaidi hata ya shilingi milioni mia moja katika tiketi moja. Betika wanatoa huduma kwa haraka na zilizo bora. Baada ya kufanya utafiti na uchambuzi tumeweza kujiridhisha kuwa BETIKA inakufaa wewe kama mdau wa Mikeka, Fuata maelekezo hapa chini uweze kujiunga na Betika na ufurahie mchezo huu.

HATUA ya Kwanza, Ingia Google, kisha andika BETIKA

Hatua ya Pili Bonyeza ” Betika | Best Online Sports Betting in Tanzania”

Hatua ya Tatu, Bonyeza “SAJILI”

Hatua ya Tatu, Ingiza namba ya simu, kisha Weka namba ya siri , baada ya hapo thibitisha namba ya siri, baada ya hapo bonyeza tiki kukubali Vigezo na masharti, kisha tiki tena kukubali kuwa uko juu ya miaka 18, Baada ya hapo Bonyeza JISAJILI.

Baada ya Hapo utapata Code kwenye simu yako, kisha utaweka hizo code za kuthibitisha Akaunti yako ya BETIKA.

Kwa Msaada zaidi, unaweka kujiunga na Group letu la Facebook na whatsapp hapa chini,

WHATSAPP GROUP LINK

FACEBOOK GROUP LINK