Home News Fanya UPDATE ya APP ya BEKABOY , Upate Muonekano Mpya

Fanya UPDATE ya APP ya BEKABOY , Upate Muonekano Mpya

Fanya UPDATE ya APP ya BEKABOY , Upate Muonekano Mpya

Vifuatavyo ni Vipengele vilivyoongezwa kwenye kwenye APP ya BEKABOY:

*Notifications: Ukiwa na APP ya Bekaboy utaweza kupata Taarifa pindi wimbo mpya unapokuwa Umechapishwa. Notification Imeboreshwa Zaidi

*Media Player: Unaweza kuplay muziki (Video na Audio) ndani ya APP kabla ya Kuipakua.

*Radio za Mtandaoni: Ukiwa na APP ya Bekaboy unaweza kusikiliza Radio zote kubwa hapa Tanzania kama, Clouds Fm, Radio Free, EA Radio, Capital Radio, Choice FM na nyingine nyingi.

JINSI YA KUPAKUA APP YA BEKABOY

*Ingia Playstore

*Katika BOX la kusearch, andika neno BEKABOY

*Baada ya Hapo Bonyeza INSTALL

*Baada ya Hapo Bonyeza OPEN kufungua APP Upate Burudani.

BONYEZA HAPA KUPAKUA APP YA BEKABOY