Home News TAFADHALI UPDATE BekaBoy App Version 1.1.4

TAFADHALI UPDATE BekaBoy App Version 1.1.4

Tafadhali kama una App yetu ya Bekaboy App Tumeboresha Upande Wa Notification/Taarifa Pamoja na RADIO 35+ Live(BURE)
>Nenda Play Store , Tafuta “BEKABOY” Kisha Bonyeza Install au Bonyeza Update.
Baada ya App kumaliza Ku-update/ Ku-install fungua App na utaona Tayari Nyimbo Zimekuja…
Pia Kwa Sasa Utaweza Kupata Taarifa/Notifications Pindi tu Tutakapoweka Nyimbo Mpya ZOTE.
Pia utaweza kutafta(Search) nyimbo zote za Sasa na zaZamaani Kwenye Application ya Bekaboy
Kuskiliza Zaidi ya RADIO 35+ Live(BURE).
Asante Kwa Kuchagua Bekaboy App kama Appication yako ya Burudani.

Pia unaweza Kuidownload Kwa KUBONYEZA HAPA