Audio: Sikiliza show ya burudani ya mtandaoni ‘BLOG PREVIEW’

Audio: Sikiliza show ya burudani ya mtandaoni ‘BLOG PREVIEW’

Blog Preview

Ni kipindi kinacho andaliwa na waandishi wa mishe mishe media Kipindi hiki kitakua kinatoka kila siku ya jumamosi ni kipindi kinacho kukusanyia habari mbali mbali zilizo tokea ndani na nje ya nchi. Kipindi hiki kitakua kinaonekana kupitia website yetu hii na zile website rafiki kama www.johventuretz.com  na  www.africanmishe.com pia tuna toa furusa kwa radio za mikoani zinazo penda kurusha kipindi hiki kuwasiliana nasi kwa no +255714903603 

downloadnow-ribbon-blue


COMMENT

comments